Maukibu hii, iliyoanzishwa kwa jitihada za Sheikh Ismail Bokassa pamoja na kundi la wanaharakati wa kitamaduni, imepokea kwa shangwe kubwa wageni wa ziara na familia, na inasimulia uhusiano wa kina kati ya Afrika na harakati ya Ashura.

12 Agosti 2025 - 00:42

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Maukibu ya kitamaduni “Ushaq al-Husayn (a.s) – Afrika” iliyo katikati ya barabara ya Najaf kuelekea Karbala, katika Nguzo ya 379, kupitia mabanda yake mbalimbali ya kitamaduni, ya habari, na ya watoto, imefungua dirisha kuelekea historia, utamaduni na mapambano ya wananchi wa Afrika.

Picha | Harufu Nzuri ya Bara Jeusi Kwenye Njia ya Mapenzi; Maukibu ya Kitamaduni ya Wapenzi wa Hussein as Yawakaribisha Mazuwwari wa 40 Nguzo No: 379

Maukibu hii, iliyoanzishwa kwa jitihada za Sheikh Ismail Bokassa pamoja na kundi la wanaharakati wa kitamaduni, imepokea kwa shangwe kubwa wageni wa ziara na familia, na inasimulia uhusiano wa kina kati ya Afrika na harakati ya A'shura.

Picha | Harufu Nzuri ya Bara Jeusi Kwenye Njia ya Mapenzi; Maukibu ya Kitamaduni ya Wapenzi wa Hussein as Yawakaribisha Mazuwwari wa 40 Nguzo No: 379

Your Comment

You are replying to: .
captcha